House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA HIO NZURI INAUZWA.
>INA VYUMBA VYA KULALA 4 VYA KULALA,. KIMOJA MASTER
>SEBLE KUBWA NA YA KISASA NZURI SANA NA
>JIKO LA KISASA HILO
>PUBLIC TOILET NA BATHROOM, PIA INA SEHEMU YA KUSOMEA INA GARGEN NYUMBA KUNA SEHEMU KUBWA YA KUFUGIA KUKU.
KUBWA WA ENEO NI SQUIRE MITA 500 NA POINT KADHAA.
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE .
💰BEI:MILLION 185 [MIA THEMANI NA TANO ]
MALIPO YANAPOKELEWA HATA KWA AWAMU RUKSA ENEO LIMEPIMWA LINA OFFER .
SERVICE CHARGE TSH 20,000.
NIPIGIE#0625606710