House for sale at Kimara, Dar Es Salaam



NYUMBA KALI SANA YA GOROFA MOJA INAUZWA
IPO KIMARA KOROGWE
INA VYUMBA 6 VIKUBWA NA BALCON YA KISASA JUU
VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM.
NYUMBA INA FULL A/C
UKUBWA WA PLOT NI SQM 1,300
IPO KATIKA MTAA WA MATAJIRI.
UMBALI KUTOKA LAMI YA MTAA NI KAMA MITA 500.
KUTOKA MORO ROAD NI KILOMITER 1.5 TU.
BEI ML 650.
MAONGEZI.KWA MUHITAJI TUWASILIANE KWA
NAMBA 0718809744
0762447173..KARIBUNI SANA.