House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







Chumba sebule Choo jiko nyumba kali sana mazingila mazuri sana umeme wako maji ndani
Nyumba hii ipo kimara stop over dakika 8 kwamguu barabara nzuri sana kwa aina yoyote ya gari inafikika wahi bei ya nyumba hii 300,000 x6 bila kusahau pesa ya tahazari .kwenda kuona 15 ukipenda mwez mmoja kwa dalall
0712656027