House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA GOROFA MOJA INAUZWA
IPO KIMARA KOROGWE
INA VYUMBA 6 VIKUBWA NA BALCON YA KISASA JUU
VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM.
NYUMBA INA FULL A/C
UKUBWA WA PLOT NI SQM 1,300
IPO KATIKA MTAA WA MATAJIRI.
UMBALI KUTOKA LAMI YA MTAA NI KAMA MITA 500.
KUTOKA MORO ROAD NI KILOMITER 1.5 TU.
BEI ML 650.