House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KALI SANA INAUZWA INA VYUMBA VYA KULALA 3 KIMOJA MASTER , CHOO YA PABLICK 2 , SEBLE, DIANING , JIKO NA STOO .
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI INA ENEO KUBWA SANA UNAWEZA KUJENGA NYUMBA KAMA HIO TENA . FULL DOCOMENT NYUMBA INA HATI
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 5
BEI MILIONI MIA MOJA SABINI NA TANO.
SERVES CHARGE 20000
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347