House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAUZWA BINAFSI BEI MILIONI 55 MAONGEZI YAPO USIJALI FIKA SITE
IPO SEHEMU NZURI SANA
NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO👇👇
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI SELF
SEBULE KUBWA
JIKO
MAJI DAWASA YAPO YA KUTOSHA
PARKING
IPO NDANI YA FENSI
INAUZWA MILIONI 55 MAONGEZI YAPO
UKUBWA WA ENEO NI 20/18 METERS
DOCUMENTS:- MKATABA WA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
-----------------
🏡NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
--------
USAFIRI WA PUBLIC UPO NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK CHACHE UPO KWENYE NYUMBA
---------------------
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE ELFU 30
What saapp number ⬅️ 0689-547258