House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam
*Nyumba ya Ghorofa inauzwa Kinyerezi mwisho*
-Nyumba ina vyumba v6 vya kulala, v4 master bedrooms, dining room, sitting room jiko kubwa sana full makabati na public toilet.
-Plot size Sqm 1,000
-Document: Title Deed
*Bei shilingi milioni 550 maongezi kidogo*