House for sale at Kitunda, Dar Es Salaam
BEI IMESHUKA KWA SASA NI MILION 38 (mwanzo ilikuwa 55)
✅Nyumba Ipo kitunda machimbo H/jiji ilala
Vyumba jumla ni v4 na kimoja masta
(Yaan nyumba kubwa v3 na nje kimoja)
✅Dining, siting, stoo, jiko, umeme
Jipsam maji, perving, Tailiz
NA A.C IPO (kiyoyozi)
✅Garden (urembo) nzuri tena kubwa
✅ENEO MITA 30 KWA 25
✅ UMBALI - Unatembea dakika 3 tu had stend
KUPELEKWA NI 30K UTAKAGUA NYUMBA SIO CHINI YA 3 ZENYE HADHI SAWA NA HII
☎️0788077337 ☎️0625637254