House for sale at Kitunda, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI 2, PLOT MOJA, TSHS.85 MILIONI, KITUNDA.
Zipo uelekeo wa KINYANTILA.
Jirani na Kituo cha Daladala.
Kiwanja SQM.360.
Nyumba safi.
Kila moja inajitegemea.
Na kila moja ina vyumba vya kulala 3 (Masta 1) Pia na Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Ndani ya Fensi safi yenye Paving.
Wahi mapema usije jutia kuzikosa.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu.
+255714591548
____________mskv