House for sale at Kivule, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa kati ya kivule na msongola wilaya ya ilala dar (NJIA PANDA YA KUELEKEA KIVULE)
👉👉BEI MILION 19 tu
Vyumba v3 kimoja masta
Sebule
Jipsam
Maji yapo
Gari moja tu had mjin
Eneo sqm 250 (makadilio )