House for sale at Madale, Dar Es Salaam


#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PAGALA LINAUZWA LENYE
VYUMBA V3 VYA KULALA
SEBULE JIKO CHOO
LA KISASA
LIPO MADALE JIRANI NA BUNJU
KM 5 KUTOKA MADALE MWISHO
LIPO MTAA MZURI SANA
PAMEPIMWA HATI MILIKI IPO
SQM 427
BEI MILIONI 29.5 PIGA CM TUMALIZE
CONTACT 0685 006223
WHATSAP 0718 759287
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA