House for sale at Madale, Dar Es Salaam





Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kipo ndani ya fensi na Kina apartment 3 za chumba masta na sebule
Eneo-sqm 2000
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 120 maongezi
Location- madale polisi
Umbali-km 1.8 kutoka main road madale polisi
0745559598