House for sale at Madale, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA 📍
IPO MADALE MIVUMONI
BEI NI MIL 230 tshs
NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA
Kimoja Masta, Sebule, dinning, jiko lenye stoo.
Ukubwa wa eneo Sqmt 670 document Sales agreement (Hati mauziano ya selikali za mitaa)
NYUMBA NI MPYAA, KUNA SERVANTKOTA YA CHUMBA KIMOJA PIA NA CHOO CHA NJE