House for sale at Makumbusho, Dar Es Salaam


🏡 NYUMBA INAUZWA – MAKUMBUSHO
📍 Inatazama barabara ya lami
📐 Eneo: 372 Sqm (hati miliki ipo)
✅ Nyumba nzuri imekaa sehemu bomba
✅ Inafaa kwa makazi au biashara
✅ Upatikanaji rahisi, mbele ya barabara
💰 Bei: Milioni 600 (maongezi yapo)
📞 Mawasiliano: 0678 512 666