House for sale at Mawasiliano, Morogoro


🗯️#Kiwanja #Kinauzwa #UBUNGO_KIBO MSEWE near #UDSM
📍 Bei ni 25,000,000/=
_____
_____
📌 Kinafaa kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya #biashara, unaweza jenga vyumba master na ukapata wapangaji wa bei nzuri
💧Kina ukubwa wa SQM 400 (Urefu 20M na Upana ni 20M)
💧Mtaa Mzuri, umejengeka tayari
💧Huduma za kijamii zipo
💧Gari inafika hadi Site
#Ipo Umbali wa dakika 15-17 kutoka Kituo cha mwendokasi, umbali wa dakika 10 Hadi UDSM
#Fika uone
______
#Kupelekwa kuona Kiwanja 30,000/=
#MAWASILIANO ZAIDI
#0688573777
📌 Karibu Sana Ndugu mteja wetu.