House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







MABOSS WANGU NAUZA HII NYUMBA TSH MIL 36 TU NYUMBA IME NJOOKA SANA IPO MBAGALA SAKU MZAMBALAUNI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA MKONDONGWA
BOSS NJOO NKUZIE IYO NYUMBA IPO JILANI KABISA NA KITUO CHA DALA DALA
INA NYUMBA VNNE VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
INA ENEO KUBWA LA KUJENGA FENS
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0652618143. 0759203175. 0753385044