House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







BOSS WANGU IYO KAZI IME NJOOKA SANA IPO MBAGALA SO MSUFINI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA MSUFINI
INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 55 TU
UKUBWA WA ENEO SQAEMITAR 400
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA WA MSUFINI
KUTOKA BARA BARA KUU YA LAMI KUJA KWENYE HII NYUMBA NI DAKIKA 3 TU
BOSS WANGU IYO NYUMBA NI MPYA KABISA
INA NYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0652618143. 0759203175