House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba zipo mbili kwa pamoja zina uzwa zote kwa pamoja tsh million 35 tu
Nyumba zipo mbagala Azam complex
Nyumba ya kwanza ina vyumba vnne vya kulala kimoja master bedroom
Na nyingine ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom
Maji na umeme upo
Nyumba kalli sana
Zipo ndani ya fence gari ndogo 2 zina ingia ndani
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba nzuri bei ya kutupa sana zote mbili kwa pamoja zina uzwa tsh million (35) tu
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175. 0652618143