House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INA UZWA TSH MILION 130 TU
IPO MBAGALA CHAMAZ MFENESINI
INA VYUMBA VNNE VYA KULALA VITATU NI MASTERS BEDROOM INA SITTING ROOM NA DAININGI ROOM INA JIKO NA STORE INA MAJI NA UMEME UPO WA LUKU NYUMBA NZURI SANA MPYA KABISA YA KISASA KABISA KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEK WHATSPP 0652618143
0759203175