House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







BOSS WANGU IYO KAZI IME NJOOKA SANA IPO MBAGALA SAKU MZAMBALAUNI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI MTAA WA MKONDONGWA
MWENYEWE KAVULUGWA SANA ANA SHIFA NA PESA ANA IYUZA HII NYUMBA KWA TSH MIL 36 TU
BONGE LA JUMBA MCHAWI FENSI TU APO ENEO LIPO LA KUMWAGA
NYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU
IYO NYUMBA IPO JILANI KABISA NA KITUO CHA DALA DALA ZA MBAGALA SAKU MZAMBALAUNI
KWA KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0652618143. 0759203175
0753385044