House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana kubwa ina uzwa bei ya kutupa sana tsh million 85 tu
Nyumba ipo mbagala chamaz msufini Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa msufini
Ukubwa wa eneo square miter 730
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikish Usha fanyika
Uwani kuna chumba kimoja master bedroom
Pia kuna frem mbili za maduka nyumba nzuri sana ina fence gari ndogo 4 zina ingia ndani kutoka bara bara kuu ya lami ya chamaz magengeni
Kuja kwenye hii nyumba ni dakika 3 tu kwa mwendo wa miguu
Ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek Whatsapp ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa 0759203175
0652618143