House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Hii nyumba si mchezo wadau wangu iko vzuri sana ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa ina uzwa bei raisi sana tsh million (65) tu ukiwa na maongezi njoo site ukague nyumba Kisha tuta ongea vzuri
Nyumba ipo mbagala chamaz dovya mkoa wa dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 10 tu kwa mwendo wa miguu
Hii nyumba ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku
Ina fence gari ndogo 2 zina ingia ndani
Usikubar kuikosa kabisa ndugu yangu nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175. 0652618143
Kuja kuona nyumba ni bule kabisa akuna ghalama yoyote utatembezwa nyumba zote bila garama yoyote kalibu sana mdau wangu