House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


Hii nyumba kalli sana ipo mbagala maji matitu Cha Simba
0788795522
Ina uzwa iyo nyumba bei ya kutupa sana tsh million 22 TU
Vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room na daining rooms ina jiko pamoja na
Public toylet ina maji na umeme nyumba Kalli sana
Kutoka barabara kuu ya Rami kuja kwenye hii nyumba ni dakika 4 TU