House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana nyumba ya kisasa kabisa ina uzwa tsh million 48 tu
Ina eneo square miter 400
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vnne vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana
Wai mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba nzuri sana ipo mbagala chamaz saku ilulu jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz mtaa wa mkondogwa
0652618143. 0759203175
Garama za kwenda kuona 30000 tu
Asilimia 5 ya madalali ukinunua nyumba