House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







BOSS WANGU IYO KAZI IME NJOOKA SANA IPO MBAGALA SAKU ILULU PALE PALE STEND YA DALA DALA
INA UZZWA HII NYUMBA TSH MIL 44 TU
IPO VIZURI SANA NYUMBA NI KUBWA IME JENGWA VIZURI SANA INA ENEO KUBWA LA KUPAKI GARI GARI NDOGO 3 ZINA INGIA NDANI
NYUMBA VIPO VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU
UKIWA SIRIOUSE BOSS WANGU IYO NYUMBA UIACHI INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 44 TU
NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0652618143. 0759203175