House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam
Nyumba ya ukweli sana ime nyooka sana ina uzwa bei nzuri sana tsh million (120) tu
Wai mdau wangu tumalize biashara faster
Ni nyumba nzuri sana
Ina vyumba vnne vya kulala vyumba vyote ni masters bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina kisima cha maji na umeme upo wa luku
Ina frem mbili za maduka nyumba nzuri sana ipo mbagala chamaz magengeni Jiji la dar es salaam wilaya temeke kata ya chamaz
Ipo jilani kabisa na stendy ya magengeni chamaz
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nichek Whatsapp 0759203175. 0652618143