House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


IMESHUKA BEI MILIONI 65 MBEZI MWISHO NJIA YA KINYEREZI
_____
MILIONI 65 CHANGAMUKIA FURSA HIYO
______
INAUZWA IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI KITUO KIFURU
______
UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA MOJA HADI KWENYE NYUMBA
______KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 15 BODA BODA 1000
______ NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO LA KISASA NA CHOO CHA PUBLIC
______MASTER INA A/C
KUNA ELECTRIC FENCE
______
MAJI DAWASA NA LUKU UNAJITEGEMEA
BARABARA NZURI INAFIKIKA MUDA WOWOTE
______
UKUBWA WA ENEO SM 400
__________
KUPELEKWA KUONA 30,000
NYUMBA HAPO ILIPO INA MPANGAJI NDANI
Contact:
0654101710
0787205300