House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







📍 INAUZWA: Nyumba na Eneo Zuri kwa Uwekezaji – Mbezi Beach kwa Zena
Fursa adhimu ya kumiliki nyumba kubwa pamoja na kiwanja chenye ukubwa wa sqm 2000, kilichopo karibu kabisa na barabara ya Old Bagamoyo – moja ya maeneo yanayoendelea kwa kasi jijini Dar es Salaam.
🔹 Mahali: Mbezi Beach kwa Zena
🔹 Ukubwa wa Eneo: 2000 sqm
🔹 Hati Miliki:Inapatikana – nyaraka zote zipo
🔹 Bei: TZS 1.5 Bilioni
🔸 Fursa za matumizi ya eneo:
✔️ Ujenzi wa apartments za kisasa
✔️ Hoteli, lodge au huduma za utalii
✔️ Makazi binafsi ya kifahari
✔️ Miradi mingine ya kibiashara au uwekezaji wa muda mrefu
📞 Kwa taarifa zaidi Tuwasiliane
0712500602
0755336565