House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


PLOT FOR SALE /ENEO LINA UZWA
LOCATION:MBEZI BEACH TANK BOVU UPANDE WA CHIN
SQM 12000 NISAWA NA HEKA 3
Eneo letu lipo sehem nzur sana
Lina faa kwa vitu vifwatavyo
Unaweza kujenga viwanda shule,hospital,nyumba za kuish, apartment NK
Kutoka bara bara kuu mita 10 tu
Eneo lote Lina barabara 3
Bei B 3 Tshiling maongezi