House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
MAHALI MBEZI MSHIKAMANO NYUMA YA SITENDI YA MABASI YAMKOA
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA V3 KULALA K1 MASTER,
SEBLE,DINNING,JIKO NA CHOO PUBLIC
UKUBWA WA ENEO SQM 700 PAMEPIMWA URASIMISHAJI ITATOKA KWA JINA MNUNUZI
NYUMBA IKO MTAA MZURI SANA
BEI MILLION 65
☎️ #0757208653