House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


HII PLOT NI YA KIBIASHARA ZAIDI, IWAHI UTANISHUKURU BAADAE
Eneo ni conner plot linauzwa
Lina sqm 800
Ndani kuna hiyo frem hapo barabarani nyuma kuna Banda la chumba na sebule
Bei mil 16 tu
hapo barabara hiyo daladala ndipo zinapopita zinatotoka mbezi na nauli ni 1400 kutoka mbezi
Pamepimwa tayari
Ni pazuri kujenga hadware, apartments makazi, lodge nk
Kumbuka hapo kuna makazi mapya panakuwa kwa kasi
Gharama Za Kupelekwa Site Ni elf 50
Karibu sana mteja
Mawasiliano Whatsapp au call 0784919453,, call only 0658582977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
Unaweza kutufuatilia pia kupitia chanel yetu Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://whatsapp.com/channel/0029VbCFNvp8qIzsdpCAey3l
.
.
.
.
.
.
.
.
#business #home #regrann #plot #homesweethome



















