House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam


◇NYUMBA iliopo Ndani ya kiwanja sqmt 2016 Inauzwa milioni 65 maongezi yapo📍IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STENDI YA MAGUFULI BUS TERMINAL KONOIKE ROAD (KONTEINA STREET) - Dar es salaam - Tanzania
◇SIFA)- Ukubwa eneo na unaweza kuvunja nyumba iliopo unajenga uipendayo,pia panafaa kwa apartment, Lodge Nk
*Distance* kilomita 1.8 kutoka Bara Bara kuu ya Morogoro road
-Ukubwa wa eneo Sqmt 2016
-Document; Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa)
◇Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
*Bei shilingi milioni 65 maongezi yapo kwenda
Kukagua kiwanja tunachaji 30000 piga
Kwa maelezo zaidi
0784422099
0746218111
0715422099