House for sale at Mlandizi, Pwani


NYUMBA 2 KWENYE ENEO MOJA, MOJA YA BIASHARA (GUEST HOUSE) YA PILI YA MAKAZI ZINAUZWA PAMOJA
Mkoa wa pwani mlandizi
lodge ina vyumba 10 vyote self
Ya pili ni makazi nyumba yenye vyumba v3, kimoja self, sebule, jiko, dinning na public toilet..
Vyoo vya nje pia vipo
Eneo sqm 1300
Kati ametenganisha kwake na lodge
Vyote kwa pamoja bei mil 98
Ndani kuna migomba na mabanda ya mifugo
Umiliki mauziano selikali ya mtaa
Waweza kugeuza zote iwe lodge
Na pia bado ukajenga nyingine eneo bado kubwa
Gharama za Kupelekwa site 50k
Karibu sana mteja
Tuwasiliane Whatsapp/call 0784 919 453,, call only 0658 582 977
Kujiunga na group letu la Whatsapp bonyeza hapa 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home