House for sale at Mwongozo, Tabora


NYUMBA INAUZWA NA KILA KITU CHAKE NDANI:
LOCATION: MWONGOZO KIGAMBONI
UUKUBWA WA ENEO: SQM 450
SIFA: INA ROOM MBILI ZA KULALA MOJA MASTER, SECURITY WIRE, umbali toka barabara kubwa ni km 2 tu, maji yapo.
BEI: MILLION 45 TU