House for sale at Pugu, Dar Es Salaam







Jumba la kubwa la kifahari Linauzwa Pugu Kwa Rais
πBEI MILION 130 Inapungua piaπ
Manispaa ya Ilala Dar
Vyumba v4 Kimoja masta
Sitting jiko na store
Dining na public Toilet.
Nyumba Ina umeme na maji safi ya kisima.
Pia Nyumba Ina A/C.
Kiwanja Sqm. 450 (makadilio) Nyaraka ya ofisi ya serikali ya Mtaa.
Pia kiwanja kimepimwa na biconi zimewekwa Hati miliki ipo kwenye mchakato
Whatsap au piga 0673601114