House for sale at Pugu, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Pugu shule ya msingi Wilaya ya ilala dar
📌BEI MILION 75 MAONGEZI YAPO📌
Vyumba v3
👉Masta ni kubwa kama uwanja Taifa👈 (Masta zipo mbili)
Jiko, Siting Dinning
Tailz jipsam, Umeme maji
Gari moja had mjini
Eneo sqm 500 (makadilio)
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Unatembea tu had stend