House for sale at Sinza, Dar Es Salaam


Inauzwa
📍sinza mori
Na ndio maan ilikuwa sinza kwa wajanja
Sinza ni mji ukiotukuka na kila Aina ya starehe na ndio mana basi thamani yake haishuki kiama.
Ukizungumzia biashara ya Apartment bei zipo juu ,, ukizungumzia biashara za flame ndio kabisa hazishikiki
Sasa hiyo nyumba inauzwa
Yenye vyumba vinne vya kulala vitatu chini Na juu kimoja
Sebule kubwa yenye dinning na jiko lake
Kuja site kukagua mali 50k
Bei imeshuka mil 200,000,000
Njoo uwekeze pesa yako kwenye dunia