House for sale at Ubungo, Dar Es Salaam


📍🗯️ Kiwanja Kinauzwa, UBUNGO KIBO MSEWE near UDSM
📍 Bei ni 25,000,000/=
_____
_____
📌 Kinafaa kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya biashara, unaweza jenga vyumba master na ukapata wapangaji wa bei nzuri
• Kina ukubwa wa SQM 400 (Urefu 20M na Upana ni 20M)
* Mtaa Mzuri, umejengeka tayari
* Huduma za kijamii zipo
* Gari inafika hadi Site
#Ipo Umbali wa dakika 17 kutoka Kituo cha mwendokasi, umbali wa dakika 10 Hadi UDSM
#Fika uone
______
Contact call 0712 531657
0789731695