House for sale at Ukonga, Dar Es Salaam







NYUMBA IMESHUSHWA BEI, SASA TSHS.30 MILIONI TU, UKONGA BOMBAMBILI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba vya kulala 3 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Ni jirani na Stand ya Wilaya.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.