House for sale at Uwanja Wa Ndege, Mara


NYUMBA INAUZWA AREA C(KARIBU NA UWANJA WA NDEGE).
WAWEKEZAJI USIHANGAIKE KUNUNUA KIWANJA KUJENGA ILI UPANGISHE BALI NUNUA NYUMBA HII IKO KWENYE MTAA UNAOPENDWA NA WATU WENGI DODOMA AMBAPO NI NGUMU KWAKO KUPATA KIWANJA KWASASA AU KWA BEI NAFUU UKILINGANISHA NA NYUMBA HII INAVYOUZWA
__________
MAHALI-AREA C YA MWANZO KABISA(ROSE GARDEN)
__________
UKUBWA WA KIWANJA-1900SQM
_________
MUUNDO WA NYUMBA
-VYUMBA 04 VYA KULALA(01 MASTA)
-SEBULE
-JIKO
-PUBLIC TOILET
_________
DOCUMENT-OFA YA CDA.
__________
HUDUMA
-MAJI YAPO
-UMEME UPO
__________
NB-BEI YA KIWANJA TU MTAA HUU NI ZAIDI YA MILIONI 80
BEI-ASK?
__________
MAWASILIANO
0675228261
0672370722