House/Apartment for Rent at Goba, Dar Es Salaam
🥕New apartments zinapangishwa
🥕Location goba njia nne uelekeo matosa
🥕Ukishuka njia nne boda elfu moja
🥕Kama unavyo iona nyumba haina kipengele
🥕Kipenge uje nacho wewe tajiri
🥕Bei yake 250K malipo kuanzia miezi 4
🥕Service charge 20,000/=
📞0783941740
Whatsapp 0782 724 115