House/Apartment for Rent at Kariakoo, Dar Es Salaam
Hii apartment ipo kariakoo Livingston
Ipo floor ya 4 lifth ndo
Inafanyiwa marekebisho
Ni chumba master bedroom kubwa
Ni full fanish
Inapangishwa laki 5
Kwa mwezi Kodi MIEZI 3
Apo apo Kuna master bedroom kubwa
Bila fanish inapangishwa laki 4
Kwa mwezi Kodi MIEZI 3
Pia faya ipo master bedroom kubwa na jiko
Lake ipo floor ya 6
No lifth inapangishwa
Laki 5 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6 mawasiliano
#0760097834_call
#0692198834
#0716938128