House/Apartment for Rent at Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 230,000KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
SIMU
+245 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI