House/Apartment for Rent at Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/10/2024
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION KIMARA KOROGWE MKONO WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI DK 7 TU KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI UKANYAGI TOPE
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI