House/Apartment for Rent at Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA(CHUMBA CHENYE CHOO NDANI)
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI YANATOKA CHOONI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0715949085
0782838336