House/Apartment for Rent at Kibaha, Pwani


APARTMENT BEI MSELELEKO INAPANGISHWA KIBAHA KWA MFIPA #120K
===
Chumba cha kulala kikubwa
Sebule kubwa Sana
Choo ndani ( master)
Inajitegemea umeme
Maji yanaflow chooni
===
Kodi 120,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali kutoka Morogoro Road dakika 8-10 Kwa mguu
===
Ndani ya fence parking IPO
===>>
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
====
Contact us:-
0716223412
0683497453