House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
(160,000 × 6) 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗛𝗨𝗟𝗘
APARTMENT SAFI INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
===
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko zuri lenye makabati
Bei:160,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali km 2 Usafiri bajaji zipo
==
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
==
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300