House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI ZIPO NNE 4 KWENYE FANCE MOJA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
BEI SH 200,000/=
KODIMIEZI 6
▫#CHUMBA_MASTER
▫#SEBULE
▫ #JIKO
◇ Maji Dawasco umeme vyote vipo UNAJITEGEMEA
◇NOTE - Umbali KM 1 tu kutoka Morogoro road
PIKIPIKI SH 1000
KUONESHWA NYUMBA SH 15k
Dalali mwezi moja
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747