House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam





APARTMENTS MPYA ZINAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI ( BWAWANI)
A. Master bedroom kubwa nzuri maji yanaflow chooni na feni juu
Kodi 70,000 Kwa mwezi × 6
B. Master bedroom na sebule maji yanaflow chooni na feni juu
Kodi 120,000 Kwa mwezi × 6
Umbali Dakika 6 Kwa mguu toka Morogoro Road
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167