House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko zuri lenye makabati
#KODI YAKE Tsh. 160k Malipo Miezi 6
Umbali km 2 Usafiri bajaji zipo
Ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0715949085
0782838336